Pongezi hiyo ilitolewa katika kikao kazi kilicho hudhuriwa na baadhi ya Viongozi wa Kitaifa Mh.Naibu Waziri Katiba na Sheria ZAINABU KATIMBA .
Lakini pia Jumuiya ya UWT Inatoa Pongezi Kwa Mh.Dkt.Samia Suluhu Hassani kwa niaba ya Wana Wake wote wa Mkoa Wa Kigoma, Kwa Kushinda katika Uchaguzi Mkuu Uliofanyika Oktoba 29,2025 ambao Mh.Dkt.Samia Suluhu Hassani alishinda Kwa Ushindi Wa Kishindo kikubwa.
Katika Kikao kazi hicho cha kufunga Mwaka, Mh. M/kiti Agripina Buyogela aliendelea kusema Kuwa, Kwa niaba ya Wana Wake wote wa Mkoa Wa Kigoma na Tanzania kwa ujumla,
" Tunalaani kitendo hicho cha vurugu zilizotokea hapo Oktoba 29,2925, Kwani Wapo baadhi ya Watu Waliotumika Vibaya katika kuiharibu Amani ya Nchi Yetu.
Alisema:- Sisi Wana Wake tunatoa Pole Kwa Wahanga wote walioathirika katika tarehe hiyo ya 29 na 30 Oktoba , lakini tunaendelea kuwapa pole na kuwaombea hata wale majeruhi walio athirika kwa Namna Moja ua nyingine ili Wapone haraka na waweze kurudi katika Majukum yao ya kila siku .
Hatahivyo alisema jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kuufanya mkoa wa Kigoma Kuwa Miongoni mwa Mikoa ambayo imependelewa kwa Kupewa Miradi mikubwa inayotimia Millions za fedha katika kuwafuta machozi wana Kigoma, akitaja kuwa Miongoni Mwa Miradi ni Pamoja na Ujenzi wa SGR, Ukarabati wa Mv.Liemba, Mv.Mwongozo,

Comments
Post a Comment