MKURUGENZI MAWASILIANO YA RAIS IKULU AKUTANA NA WAHARIRI

 


Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bw. Bakari Machumu akizungumza na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujitambulisha na kupokea maoni yao kwa ajili ya kuboresha masuala mbalimbali ya Mawasiliano baina ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu na Vyombo vya Habari, tarehe 26 Novemba, 2025.






Comments